Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ππinapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!
ππkitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!

Kupambana....inapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!
Kuwekeza....mambo makubwa maishani huwa yanahitaji UVUMILIVU MKUBWA sana, lakini kikubwa zaidi ni kutokufanya kwa uharaka mambo yenye kuwekeza bila kuwa na UJUZI ama MAARIFA ya kutosha kwenye kile ulichoamua KUWEKEZA!!!!
βοΈβοΈβοΈinapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!