Kupoteza mimba ya nne haikuwa rahisi , nililia kwa siku nyingi mno, na sikutaka kuzitizama nguo ambazo nilikuwa nimenunulia watoto wangu, kati ya kupoteza mtoto wa kwanza hadi wanne nilikuwa najiuliza je huyu mume wangu ananipenda bado? " Jane anasema.