Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nimejifunza kuwa katika maisha unaweza ukawa UNAPIGWA VITA SANA tena na watu ambao UNAWAFAHAMU kabisa sio kwa sababu ya VILE ULIVYO LEO bali HAWAPENDI na wangefurahi kama WATAWEZA KUZUIA VILE UNAVYOWEZA KUWA hiyo KESHO!!!!
 
ukweli ni kuwa watu wengi sana waliochukua uamuzi wa KUBAKIA KAMA WALIVYO, pasipo kuchukua HATUA huko mbeleni walijuta sana na huwa wanatamani kama wangeendelea mbele zaidi katika kuamini na kufanya!!!!
 
Kuna wakati utakuwa UNAJILAZIMISHA TU kuendelea ili uonekana kwa nje kuwa uko sawa kabisa lakini kwa ndani unajua kabisa kuna mambo hayako sawa kama watu wanavyoona nje, hapo uko kwenye mchakato wa KUTENGENEZWA kama ambavyo WATU wote WAKUU walivyopitishwa!!!!
 
Kuna wakati unaweza ukapita kwenye MAGUMU makubwa sana lakini watu wengine wakikuuliza kuhusu hali yako na maendeleo yako kwa ujumla wake na ukaishia kusema naendelea vizuri TU, lakini wewe mwenyewe MOYONI MWAKO UNAJUA kabisa kuwa MAMBO YAMEKUBANA kweli kweli!!!
 
Back
Top Bottom