Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mungu anapotaka kukutumia kufanya mambo makubwa kwenye maisha, huwa haangalii KILE AMBACHO HAUNA bali HUWA ANAANGALIA KILE AMBACHO UNACHO bila KUJALI kina UDOGO KIASI GANI_ hicho kidogo ulichonacho unachokidharau ndio KIMEBEBA UKUU WAKO!!!!