Jane na mumewe wamehimilije ndoa ya miaka 12 na hali hii?
Kama mwimbaji Jane Aller anategemea mume wake kama mtayarishi na mwelekezi wa nyimbo zake.
Kutokana na hilo, wameletwa pamoja na hali yao ya kupenda muziki na pia hali ya huduma ya kuhubiri.Jane na mumewe wamehimilije ndoa ya miaka 12 na hali hii?
Kama mwimbaji Jane Aller anategemea mume wake kama mtayarishi na mwelekezi wa nyimbo zake.
Kutokana na hilo, wameletwa pamoja na hali yao ya kupenda muziki na pia hali ya huduma ya kuhubiri.
Unajua kuna watu ambao wametengana kutokana na kukosa watoto kwenye ndoa , na hata wanapoingia kwenye ndoa mpya bado wanakabiliwa na changamoto hizo hizo," anasema.
"Ni muhimu kwa watu wanaopitia changamoto hizo kuwa na subira na kudumisha hali ya kupendana na kuvumiliana," Jane anasema.
Jane anasema maisha ni kama kuendesha baiskeli , ili mtu awe na usawa lazima aendelee kusonga mbele. Kwa hivyo mambo mazuri huja kwa watu ambao wanaendelea kuwa na imani wakati ambapo hakuna cha kutumainia.
Jane Aller na mumewe Donna wanaendelea kutumai kuwa wakati mmoja watapakata mtoto wao mikononi mwao.
Wakati mwingine pia mimba huharibika kwa sababu mwanamke mjamzito amekuwa karibu na sumu au kemikali zilizo na sumu. Si rahisi kujua kila wakati kinachosababisha uharibikaji wa mimba, lakini baadhi ya sababu zinaweza kuepukika.
Kuharibika kwa mimba wakati mwingine unaweza kuzuiwa kwa kutibu wanawake kutokana na maradhi na maambukizi na kuwasaidia kuepukana na sumu ya kemikali au maeneo ya hatari . Lakini wanawake wengine huwa na uharibikaji wa mimba moja baada ya nyingine, na huweza kushindwa kujua ni kwa nini.
Wanawake walio na historia ya uharibikaji wa mimba unaojirudia wanapaswa kupimwa na kutibiwa katika kituo cha afya kilicho na huduma za kipekee ili kutafuta sababu na kuwasaidia kubeba mimba hadi mwisho wa ujauzito.
kitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!

unaweza kushangaa MTU ambaye AMEKUZIDI kila kitu na bado anakupiga vita hata kwa HICHO KIDOGO ULICHONACHO, kwa HICHO KIDOGO UNACHOTAKA KUKITUMIA ILI KIKUVISHE salama kwenye hiyo KESHO YAKO ILIYO KUBWA!!!!

nimejifunza kuwa katika maisha unaweza ukawa UNAPIGWA VITA SANA tena na watu ambao UNAWAFAHAMU kabisa sio kwa sababu ya VILE ULIVYO LEO bali HAWAPENDI na wangefurahi kama WATAWEZA KUZUIA VILE UNAVYOWEZA KUWA hiyo KESHO!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.