Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ukigundua kuwa HICHO unachofanya haukipendi, jitahidi sana kuandaa mpango wa kuanza kufanya unachokipenda_ kumbuka kuwa PASSION ndio inakupa matumaini kuwa utakuwa bilionea hata kama leo hauna hela ya chakula huku UKIENDELEA KUPAMBANA!