Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
kila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!