kila wakati wewe ndio utakuwa unawajibika moja kwa moja na MAISHA YAKO, usitafute mchawi wa maisha yako kwa sababu mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe, na kamwe usitegemee kupata matokeo makubwa kama unataka watu wengine wakubali kile UNACHOFANYA!!!!

Unapoenda kulala leo usiku mwambie Mungu, Jua linapozama ninakuomba likazame na yote yaliyoniumiza Leo,Nimeweka kila maumivu na uchungu mikononi mwako.,Ili kesho nianze siku yangu nikiwa na furaha na nguvu mpya,Ameen

Huku kukiwa na maelfu ya kemikali zinazoweza kukabiliana na seli za saratani katika maabara, wanasayansi wanasema kwamba kuna chache zinazoweza kuzalishwa kama tiba ya wanadamu
Je utafiti huo uligundua nini?
Ulifanyia vipimo sumu za nyuki 300. Sumu hizo kutoka kwa nyuki wa kutengeneza asali zilionekana kuwa na uwezo mkubwa, alisema Ciara Duffy, mtafiti wa umri wa miaka 25 ambaye aliongoza utafiti huo.
Muhimu, ni kwamba utafiti huu unaonesha kwamba Melittin inaingilia ukuwaji wa seli za saratani ndani ya matiti ili kuzuia kuzaana kwa seli hizo , alisema Profesa Peter Klinken.
"Inatoa mfano mzuri wa ni wapi kemikali asilia zinaweza kutumika kutibu ugonjwa unaoathiri wanadamu.