Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20240505-WA0016.jpg
 
Bwana Cocq anataka sheria ibadilishwe nchini Ufaransa ili kuruhusu watu walio kwenye maumivu makali kufa kama watakavyopenda. Makundi mengine, ikiwemo Kanisa Katoliki,linapinga kukatisha uhai wa mtu kwa mujibu wa maadili ya kanisa hilo.
 
Njia ya ukombozi inaanza na niamini , nina furaha,'' Bwana Cocq alichapisha maneno hayo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook mapema siku ya Jumamosi asubuhi akiwa kitandani nyumbani kwake mjini Dijon baada ya kutangaza kuwa 'amemaliza mlo wake wa mwisho'.
 
Lakini Facebook imezuia mpango huo wa kurusha moja kwa moja kifo chake, ikisema kuwa hairuhusu kuonesha matukio ya kujitoa uhai.

''Ingawa tunaheshimu uamuzi wa Bwana Cocq kutokana na ushauri wa kitaalamu tumechukua hatua kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya suala la Alain,'' Msemaji wa Facebook ameliambia shirika la habari nchini humo AFP .
 
Back
Top Bottom