Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Bwana Cocq aliandika barua kwa Rais Macron, akiomba aruhusiwe kufa ''kwa hiari yake,'' akielezea ''maumivu makali anayoyapata''.
Bwaana Macron amesema ''ameguswa'' na barua hiyo, lakini hawezi kumpa ruhusa hiyo kwa kuwa ''hayuko juu ya sheria''.
Bwaana Macron amesema ''ameguswa'' na barua hiyo, lakini hawezi kumpa ruhusa hiyo kwa kuwa ''hayuko juu ya sheria''.