Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wale ambao walikuwa pamoja nawe kwenye nyakati chungu za huzuni, usisahau kuwa nao kwenye nyakati tamu za furaha
Uvumilivu..."Wakikuomba pesa ili wakupime upendo wako, na wewe wanyime ili uwapime uvumilivu wao.