myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nakubali hiliInawezekana sio leo wala kesho,Inawezekana sio mwaka huu wala Mwaka Hujao ila ninachokiamini Ipo siku Nitafanikiwa Tu,kila Kitu kitakua sawa
Nakubali hiliInawezekana sio leo wala kesho,Inawezekana sio mwaka huu wala Mwaka Hujao ila ninachokiamini Ipo siku Nitafanikiwa Tu,kila Kitu kitakua sawa
Sawa kabisaAfya Njema na Maisha mazuri Visikufanye Uwadharau wengine waliokosa
📌📌Afya Njema na Maisha mazuri Visikufanye Uwadharau wengine waliokosa
✔️✔️Tulipokuwa Wadogo Malengo yetu yalikuwa tukiwa na Umri fulani Tuwe na Maisha bora.Siku hizi Maombi na Sala zimebadilika.Tunaomba Tufike tukiwa hai Tu
AiseeKIFO hakina Umri,fanya ibada Mwanakwetu hakuna aliye kwambha Utakufa Uzeeni
Nakubali hiliSio kila mtu katika Maisha amefanikiwa kwa kuungwa Mkono na kusaidiwa,wengine wamefikia Ndoto zao baada ya kutengwa, kunyanyaswa,kukatishwa tamaa,kukejeliwa,- "Tutaona kama utafika" pamoja na kusalitiwa na Ndugu,jamaa na marafiki.Lakini Leo hii wamesimama Imara
📌📌Sio kila mtu katika Maisha amefanikiwa kwa kuungwa Mkono na kusaidiwa,wengine wamefikia Ndoto zao baada ya kutengwa, kunyanyaswa,kukatishwa tamaa,kukejeliwa,- "Tutaona kama utafika" pamoja na kusalitiwa na Ndugu,jamaa na marafiki.Lakini Leo hii wamesimama Imara
SawasawaSio kila mtu katika Maisha amefanikiwa kwa kuungwa Mkono na kusaidiwa,wengine wamefikia Ndoto zao baada ya kutengwa, kunyanyaswa,kukatishwa tamaa,kukejeliwa,- "Tutaona kama utafika" pamoja na kusalitiwa na Ndugu,jamaa na marafiki.Lakini Leo hii wamesimama Imara
Wako imara...Sio kila mtu katika Maisha amefanikiwa kwa kuungwa Mkono na kusaidiwa,wengine wamefikia Ndoto zao baada ya kutengwa, kunyanyaswa,kukatishwa tamaa,kukejeliwa,- "Tutaona kama utafika" pamoja na kusalitiwa na Ndugu,jamaa na marafiki.Lakini Leo hii wamesimama Imara
✔️✔️✔️Tuliwapigia sana Simu zao,wakasema wapo Busy sahizi tunawaambha tupo busy wanasema Tunadharau.
Neema....Kila siku unapotoka nyumbani kwenda kutafuta mkate wako wa kila usisahau kumuomba MUNGU na ukirudi nyumbani salama mshukuru Mungu hiyo ni Neema kubwa sana
Neema....Kila siku unapotoka nyumbani kwenda kutafuta mkate wako wa kila usisahau kumuomba MUNGU na ukirudi nyumbani salama mshukuru Mungu hiyo ni Neema kubwa sana
AiseeKIFO hakina Umri,fanya ibada Mwanakwetu hakuna aliye kwambha Utakufa Uzeeni
SawaTunapost Picha za Furaha Mitandaoni Lakini Hatuna Furaha Katika Maisha Halisi
SahihiMaisha sio sare,kila mtu ana njia zake na kila Mtu ana Muda wake wa Mafanikio,Usijiwekee pressure ya Mafanikio kwa kujilinganisha na wengine,Utakata tamaa Mapema.HATUFANANI.
Sahihi kabisaMaisha sio sare,kila mtu ana njia zake na kila Mtu ana Muda wake wa Mafanikio,Usijiwekee pressure ya Mafanikio kwa kujilinganisha na wengine,Utakata tamaa Mapema.HATUFANANI.
📌📌📌Maisha sio sare,kila mtu ana njia zake na kila Mtu ana Muda wake wa Mafanikio,Usijiwekee pressure ya Mafanikio kwa kujilinganisha na wengine,Utakata tamaa Mapema.HATUFANANI.
Nakubali hili
SwadaqtaKIFO hakina Umri,fanya ibada Mwanakwetu hakuna aliye kwambha Utakufa Uzeeni
SawasawaKIFO hakina Umri,fanya ibada Mwanakwetu hakuna aliye kwambha Utakufa Uzeeni