myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliKuna Maisha fulani kama huna kitu huna lolote lazima uyapitie chini ya Amri za watu ili uje Ufanikiwe baadae bila kukuondolea utu wako na Inabidi Upunguze KIBURI uongeze HESHIMA
KweliKuna Maisha fulani kama huna kitu huna lolote lazima uyapitie chini ya Amri za watu ili uje Ufanikiwe baadae bila kukuondolea utu wako na Inabidi Upunguze KIBURI uongeze HESHIMA
Ujumbe muhimuHata niendelee kupatwa na Magumu kiasi gani.Bado naamini ya kuwa MUNGU upo upande wangu...Wazidi kunipigania hadi mwisho wa Pumzi yangu
Ujumbe muhimu sanaKuna Maisha fulani kama huna kitu huna lolote lazima uyapitie chini ya Amri za watu ili uje Ufanikiwe baadae bila kukuondolea utu wako na Inabidi Upunguze KIBURI uongeze HESHIMA
👍👍Ewe!! Mwenyezi MUNGU ipe faraja mioyo ambayo hakuna anayejua hali yake Isipokuwa wewe
📌📌Ewe!! Mwenyezi MUNGU ipe faraja mioyo ambayo hakuna anayejua hali yake Isipokuwa wewe
Sina uhakika wa hili
SawasawaMamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA imesema hatari ya kimbunga HIDAYA itakuwepo kwa siku 6 toka may 2 mwaka huu
📌📌📌Kisha kocha wake anafika huku akiwa mwingi wa tabasamu, "wakati mwingine sikumuona akija kufanya mazoezi. Ukweli ni kuwa alikuwa anatibiwa hospitalini. Aliporejea mazoezini aliniambia alikuwa ana furaha kubwa." Lamine anasema, kisha anaendelea kuzungumza, "nilimuuliza, nini kilichofanyika?"
🙏🙏Mwenyezi Mungu atujaalie kheri kwenye siku hii
📌Knots, why not?
Drops, why not?
Rocks, why not?
Blocks, why not?
Huh? Why not?
Count it up, why not?
Huh? Why not?
Racks, why not?
📌📌Dutch bitch, Dutch whip
Dutch Master, German engineering
She say I can't drink no more, run an interference
I can't hear no more, I'm too incoherent
She wanna jump in the coupe
She wanna jump in the Rolls
She wanna tell me the truth
She wanna take off her clothes
That's a lie, Maury said that's a lie
She my baby, but her baby isn't mine, tuh
📌📌📌Knots, why not?
Drops, why not?
Rocks, why not?
Blocks, why not?
Huh? Why not?
Count it up, why not?
Huh? Why not?
Racks, why not?
👍👍Daktari Dia anasema kuwa kuketi kwa muda mrefu huathiri mwendo wa damu. "Kile ambacho mara nyingi husingizia kwa kutofanya mazoezi ni muda ama wakati. Hata hivyo, ni muhimu kutenga muda wa kufanya mazoezi ili usihatarishe maisha yako." Anamaliza kueleza.
📌📌Iwapo unaendesha gari, hakikisha unaliegesha mbali na kiasi na mahali pa kazi, ambapo utatembea.
-Badala ya kutumia kambarao/lifti, hakikisha unatumia vidato.
- Simama kwa dakika moja, kila baada ya saa moja ama dakika tano hadi 10 kwa
kila dakika 90.
-Tembea Zaidi ya kuketi kwa muda mrefu.
✔️👍✔️Ama kwa hakika, kufanya mazoezi ni kuokoa muda ama wakati. Kufanya hivyo kunaondoa uchovu na unahisi mwenye nguvu haswa unapoamka.
Mtindo wa maisha wa kukaa tu, unachangia asilimia 30 ya maradhi ya moyo na kati ya asilimia 20-25 ya saratani ya matiti kibofu na mapafu.
Wataalamu wanasema kuwa iwapo umezoea kushinda kwenye kiti kazini kwa kipindi kirefu, yafuatayo ni mambo ambayo unaweza ukayafanya:
SawaJe, unafahamu kuwa, kukaa kwa muda mrefu mahali pamoja ni hatari ya kwa afya yako? Shirika la Afya Ulimwenguni WHO linakadiria kuwa takribani watu milioni 3.2 kila mwaka hufariki dunia kwa sababu ya kukosa kufanya mazoezi. Tatizo hilo sasa linaukumba ulimwengu mzima.