moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku umeingia pande zetuMchana umeshika kasi
🙏🙏Weekend njema wakusoma na waalimu wenu, maandalizi ya kesho
🙏🙏🙏🙏Weekend njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga..
🙏🙏Weekend njema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko
🙏🙏Weekend njema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini.
🙏🙏Weekend njema wafanyakazi wa maofisini
🙏🙏Weekend njema walezi wa familia zetu...
🙏🙏Weekend njema mamalishe wote
AminMungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏
AminMungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
Aamin🙏Mungu atupe siku njema yenye amani na utulivu 🙏 🤲
NjemaHabari za jumapili
Aisee shwariHabari za siku mbili tatu
Pole sana na majukumuMajukumu yanakuwa mengi sana
Usiwaze.Mpka nashindwa kuingia kwenye uzi wetu pendwa