Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndipo inaponitokaga hela bila hiari yangu,yaani najikuta tu.Nimeupenda ubunifu wake,lakini naumia zaidi kwa wale wanaoomba kuonja halafu hawanunui.Leo saa sita mchana nimegombana na mtu, ameomba aonje,alivyo pewa akasema ahsante sina hela.Nimemnyang'anya buku lake alitaka anunue vocha nikampa muuza karanga, kazinunua kwa lazima
 
Aiseeh!
 
Kuna watu hawana utu na heshima kwa kazi za wenzao. Sasa mtu anakupa uonje akijua kuna biashara hapo ila muonjaji kumbe ana yake inaboa kweli. Safi kwa kumsaidia muuza karanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…