ANGAZO TANGAZO TANGAZO*
__________________
*CHAMA CHA WAHENGA TANZANIA *chini ya mwenyekiti wake Ndugu _*Andongolile Kinje kitile*_ kinapenda kiwataarifu wanachama wake wote wanaojijua kuwa ni WAHENGA kuwa kitakuwa na Mkutano mkuu wa Chama utakaofanyika mjini Dodoma Tarehe 20 ya mwezi huu. AGENDA kuu ni kubadilisha Baadhi ya METHALI MISEMO NA NAHAU ambazo zimeshindwa kuendana na wakati ikiwemo msemo usemao " _*Maisha ni Popote*_" mana tumegundua huwezi tafuta maisha mitaa ya *KIBITI*. JAMBO LINGINE tutakalojadili sisi km wahenga ni kumtambua MSALITI wetu mkubwa aliweza *KUVUJISHA PICHA ZETU SISI WANACHAMA* hasa kwa hiki kizazi cha instagram na wasapu. Km wanachama mnajua fika kuwa tulikula kiapo cha kulinda siri zetu ikiwemo kutojulika kwa sura zetu mpk mwisho wa dunia. Sasa tunahitaji kumjua msaliti alietoa picha zetu mpk hiki kizazi kikatujua.
_*Kufika kwako ndo mafanikio ya Mkutano wetu*_
---imetolewa na mwenyekiti wa chama cha Wahenga____
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app