cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Yes indeedIt's a beautiful Thursday afternoon
AMUN RAAMUN RA
Kuna mtu wakati ulee alipaliwa na asali akashindwa hata kufanya interview na BBC.Mwenye kufa kwa asali ya nyuki hana kilio
AMUN RASEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
AMUN RAThe end of old circle and the beginning of new circle
Hahahahaha muhenga jembekiloManeno ya muhenga jembekillo ni hayo. Msiyadharau
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
WaterMaji
Nashukuru kwa uwepo wako dada.Kuna watu wanafurahi kushindwa kwangu.Hakika nakutamkia yale maneno ya pale msalabani kwa yule mwingine aliye mhurumia Bwana,ila siyakumbuki,ukiyakumbuka jiambie mwenyewe kwa niaba yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana
Hivi unaacha?unaachwa?au una kimbiwa?[emoji125] [emoji125]Mkuu naachika??? Sio kwamba naacha? Hili nalo kuna haja ya kulifuatilia
LightMwanga
HahahahahahaWahenga walisemaga kazi na dawa, yaliyobaki ni siri ya kuta 4 za chumba
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Ule msemo wanaosema "fuata nyuki ule asali"mbona ka unapishana na huu?naomba ufafanuzi kama hautojali
[emoji23] [emoji23] ongeza jibapa nakuja kulipa mana unanifurahisha kweliNashukuru kwa uwepo wako dada.Kuna watu wanafurahi kushindwa kwangu.Hakika nakutamkia yale maneno ya pale msalabani kwa yule mwingine aliye mhurumia Bwana,ila siyakumbuki,ukiyakumbuka jiambie mwenyewe kwa niaba yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JibapaJibapa linanifariji sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app