myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaJaribu kutawala hasira zako kwasababu neno hasira lina tofauti ya herufi moja tu na neno hasara...
SawaJaribu kutawala hasira zako kwasababu neno hasira lina tofauti ya herufi moja tu na neno hasara...
Safiiiii ✔️ ✔️
SawasawaJaribu kutawala hasira zako kwasababu neno hasira lina tofauti ya herufi moja tu na neno hasara...
✅️Jifunze kukipenda na kukithamini ulicho nacho kwani huwezi kujua kesho yako
SawaJaribu kutawala hasira zako kwasababu neno hasira lina tofauti ya herufi moja tu na neno hasara...
KweliJifunze kukipenda na kukithamini ulicho nacho kwani huwezi kujua kesho yako
SawasawaNa wale wanaotufanya tuumie au kujutia kwenye maisha basi usisahau kuwa ndio wale wale tulio waamini sana kwenye maisha yetu.
✅️✅️Inafikia wakati nivizuri kusahau jambo ambalo liliumiza moyo wako lakini pia ni vizuri kukumbuka ulicho jifunza kwenye jambo hilo.
SafiiiiiAsalaam Alyeikum
Aisee