moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🙏Weekend njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, weekend inaaga
🙏Weekend njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, weekend inaaga
🙏Weekend njema walezi wa familia zetu
🙏Weekend njema mamalishe wote, maandalizi ya kesho
🙏Weekend njema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko, Weekend inaaga
🙏Weekend njema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini, maandalizi ya kesho..
🙏Weekend njema wadau wa maofisini..Weekend inaaga
🙏Mungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
Mungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏
Mungu atupe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲
AminMungu atupe baraka zake🙏🙏