myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤲🙏Na wamemfanyia Allaah fungu katika mimea na wanyama Aliyoumba. Wakasema: Hili ni la Allaah kwa madai yao, na hili ni kwa ajili ya washirika wetu. Basi yaliyokuwa kwa ajili ya washirika wao hayamfikii Allaah. Na yaliyokuwa kwa ajili ya Allaah hufika kwa washirika wao. Uovu ulioje wanayoyahukumu!
🤲🤲Hakika mnayoahidiwa bila shaka yatakuja tu! Nanyi si wenye kuweza kushinda (kukwepa adhabu).
SawaNa katika wanyama wa mifugo (Amekuumbieni) wabebao mzigo na wadogodogo. Kuleni katika Alivyokuruzukuni Allaah na wala msifuate hatua za shaytwaan, hakika yeye ni adui bayana kwenu.
DuhMwanamke ashitakiwa kuchangisha pesa akidai kuwa anaugua saratani
DuhMwanamke ashitakiwa kuchangisha pesa akidai kuwa anaugua saratani
📌📌Sema: Leteni mashahidi wenu wanaoshuhudia kwamba Allaah Ameharamisha (wanyama) hawa. Wakishuhudia, basi usishuhudie pamoja nao. Na wala usifuate hawaa za wale wanaokadhibisha Aayaat Zetu, na wale wasioamini Aakhirah, nao wanawasawazisha wengine na Rabb wao.
Kweli kabisaSema: Basi Ni Allaah Pekee Mwenye hoja timilifu. Na Angelitaka Angelikuhidini nyote.
SawaWatasema wale walioshirikisha: Lau Allaah Angetaka, tusingelifanya shirki, wala baba zetu pia na wala tusingeliharamisha chochote. Hivyo ndivyo walivyokadhibisha wale wa kabla yao mpaka walipoonja Adhabu Yetu. Sema: Je, mna ilimu yoyote mtutolee? Hamfuati isipokuwa dhana tu, nanyi si lolote ila mnabuni uongo.
SahihiJozi nane: (za dume na jike) katika kondoo wawili na katika mbuzi wawili. Sema: Je, Ameharamisha wote madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike yote mawili? Nijulisheni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli.
📌📌📌Watasema wale walioshirikisha: Lau Allaah Angetaka, tusingelifanya shirki, wala baba zetu pia na wala tusingeliharamisha chochote. Hivyo ndivyo walivyokadhibisha wale wa kabla yao mpaka walipoonja Adhabu Yetu. Sema: Je, mna ilimu yoyote mtutolee? Hamfuati isipokuwa dhana tu, nanyi si lolote ila mnabuni uongo.
SawaNa kwa wale walio Mayahudi Tuliharamisha kila (mnyama) mwenye kucha. Na katika ng’ombe na mbuzi Tuliwaharamishia shahamu zao isipokuwa iliyobeba migongo yao au utumbo wao au iliyochanganyika na mifupa. Hivyo ndivyo Tulivyowalipa kwa baghi (dhulma) yao. Na bila shaka Sisi Ni Wakweli.
✅️✅️Sema: Sipati katika yale niliyofunuliwa Wahyi kwangu kilichoharamishwa kwa mlaji kukila isipokuwa kiwe ni nyamafu au damu inayomwagika au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni vichafu, au kilichochinjwa kinyume na utiifu kwa Allaah kwa kutajiwa asiyekuwa Allaah. Lakini atakayefikwa na dharura bila ya kutamani wala kuvuka mipaka, basi hakika Rabb wako Ni Mwingi wa Kughufuria, Mwenye Kurehemu.
📌📌Sema: Sipati katika yale niliyofunuliwa Wahyi kwangu kilichoharamishwa kwa mlaji kukila isipokuwa kiwe ni nyamafu au damu inayomwagika au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni vichafu, au kilichochinjwa kinyume na utiifu kwa Allaah kwa kutajiwa asiyekuwa Allaah. Lakini atakayefikwa na dharura bila ya kutamani wala kuvuka mipaka, basi hakika Rabb wako Ni Mwingi wa Kughufuria, Mwenye Kurehemu.
✅️✅️✅️Na katika ngamia wawili na katika ng’ombe wawili. Sema: Je, Ameharamisha madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike wawili? Au nyinyi mlishuhudia Allaah Alipokuusieni haya? Basi nani dhalimu zaidi kuliko yule anayemtungia Allaah uongo ili apoteze watu bila ilimu. Hakika Allaah Hawaongozi watu madhalimu.
✅️✅️Na katika ngamia wawili na katika ng’ombe wawili. Sema: Je, Ameharamisha madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike wawili? Au nyinyi mlishuhudia Allaah Alipokuusieni haya? Basi nani dhalimu zaidi kuliko yule anayemtungia Allaah uongo ili apoteze watu bila ilimu. Hakika Allaah Hawaongozi watu madhalimu.
SawaJozi nane: (za dume na jike) katika kondoo wawili na katika mbuzi wawili. Sema: Je, Ameharamisha wote madume wawili au majike mawili, au waliomo ndani ya fuko la uzazi mwa majike yote mawili? Nijulisheni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli.
AiseeNicole Elkabbas, 42, alianzisha mchango kwa njia ya mtandao akidai kuwa anahitaji pesa za kugharamia matibabu ya saratani ya kifuko cha mayai ya uzazi katika hospitali moja ya kibinafsi
DuhHata hivyo, mahakama ilibaini kwamba picha hiyo ilichukuliwa wakati wa matibabu ya kawaida ya kibofu cha mkojo miezi kadhaa nyuma.
HatariiiHata hivyo, mahakama ilibaini kwamba picha hiyo ilichukuliwa wakati wa matibabu ya kawaida ya kibofu cha mkojo miezi kadhaa nyuma.