Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapomwambia mtu maneno yanayoweka rehani heshima na utu wake; unapofanya kitu kinachoumiza hisia za mtu, kinachomdhalilisha, kinachomfanya ajione hana thamani, usimshangae akiamua kujibu mapigo kupambania heshima unayojaribu kumnyang’anya. Hakuna binadamu anayependa unyonge."
 
"Ili ufanikiwe, basi ni lazima uivumilie mbegu ambayo umeipanda hadi iote, uvumilie mmea hadi utakapotoa majani, yavumilie majani hadi yatakapotoa maua, yavumilie maua hadi yatakapotoa matunda, yavumilie matunda hadi yatakapoiva. Uvumilivu ni mbegu ya mafanikio
 
FB_IMG_1630027044640.jpg
 
Back
Top Bottom