Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na mtu mwingine