myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️"Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake.
✔️✔️✔️Kila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
SawaUnaweza kutweza utu wa mtu mliyetofautiana lakini kesho mkakubaliana. Unaweza kupambana kumdhalilisha mtu leo lakini kesho ukafanya yale yale uliyomdhalilisha nayo. Uimara ni kutofautiana na mtu na bado ukaendelea kumheshimu na hata kulinda haki yake ya kutofautiana na wewe."
👍Kila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
👍👍Kila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
👍👍👍Unaweza kutweza utu wa mtu mliyetofautiana lakini kesho mkakubaliana. Unaweza kupambana kumdhalilisha mtu leo lakini kesho ukafanya yale yale uliyomdhalilisha nayo. Uimara ni kutofautiana na mtu na bado ukaendelea kumheshimu na hata kulinda haki yake ya kutofautiana na wewe."

✅️✅️Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji
✔️✔️Kumlipa wema aliyekutendea wema huo ni uungwana. Lakini kumtendea wema anayekuchukia, aliyekutendea ubaya, ni kiwango cha juu kabisa cha utu." ~
✅️✅️Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji
🙏🙏Mchana mwema