myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😁😁Mkuu, wapi huko?
Mbona huku tayari ni usiku!!
😁😁Mkuu, wapi huko?
Mbona huku tayari ni usiku!!
Ugumu wake.."Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake.
Licha ya ugumu.."Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake.
SawaWale ambao walikuwa pamoja nawe kwenye nyakati chungu za huzuni, usisahau kuwa nao kwenye nyakati tamu za furaha.
Uvumilivu.."Ili ufanikiwe, basi ni lazima uivumilie mbegu ambayo umeipanda hadi iote, uvumilie mmea hadi utakapotoa majani, yavumilie majani hadi yatakapotoa maua, yavumilie maua hadi yatakapotoa matunda, yavumilie matunda hadi yatakapoiva. Uvumilivu ni mbegu ya mafanikio
Mafanikio.."Ili ufanikiwe, basi ni lazima uivumilie mbegu ambayo umeipanda hadi iote, uvumilie mmea hadi utakapotoa majani, yavumilie majani hadi yatakapotoa maua, yavumilie maua hadi yatakapotoa matunda, yavumilie matunda hadi yatakapoiva. Uvumilivu ni mbegu ya mafanikio
Sawasawa"Ili ufanikiwe, basi ni lazima uivumilie mbegu ambayo umeipanda hadi iote, uvumilie mmea hadi utakapotoa majani, yavumilie majani hadi yatakapotoa maua, yavumilie maua hadi yatakapotoa matunda, yavumilie matunda hadi yatakapoiva. Uvumilivu ni mbegu ya mafanikio
📌Faragha ndio utu wa mtu. Itunze." ~Togolani Mavura.
📌📌"Ili ufanikiwe, basi ni lazima uivumilie mbegu ambayo umeipanda hadi iote, uvumilie mmea hadi utakapotoa majani, yavumilie majani hadi yatakapotoa maua, yavumilie maua hadi yatakapotoa matunda, yavumilie matunda hadi yatakapoiva. Uvumilivu ni mbegu ya mafanikio
📌📌📌Unapomwambia mtu maneno yanayoweka rehani heshima na utu wake; unapofanya kitu kinachoumiza hisia za mtu, kinachomdhalilisha, kinachomfanya ajione hana thamani, usimshangae akiamua kujibu mapigo kupambania heshima unayojaribu kumnyang’anya. Hakuna binadamu anayependa unyonge."
SawaFaragha ndio utu wa mtu. Itunze." ~Togolani Mavura.
Sawasawa ✔️Faragha ndio utu wa mtu. Itunze." ~Togolani Mavura.
Hutobaki salama..Ukiaminiwa na mtu umetwishwa mzigo. Mtu akiruhusu ufahamu mapungufu yake, siri zake, faragha yake, anakuwa amekabidhi utu na heshima yake mikononi mwako. Unapomsaliti, ukatumia unayoyajua kinyume naye, maumivu yake ni sawa na kumwibia moyo wake na kupotea nao. Hutobaki salama."
✔️👍Ukiaminiwa na mtu umetwishwa mzigo. Mtu akiruhusu ufahamu mapungufu yake, siri zake, faragha yake, anakuwa amekabidhi utu na heshima yake mikononi mwako. Unapomsaliti, ukatumia unayoyajua kinyume naye, maumivu yake ni sawa na kumwibia moyo wake na kupotea nao. Hutobaki salama."
👍👍✔️Ukiaminiwa na mtu umetwishwa mzigo. Mtu akiruhusu ufahamu mapungufu yake, siri zake, faragha yake, anakuwa amekabidhi utu na heshima yake mikononi mwako. Unapomsaliti, ukatumia unayoyajua kinyume naye, maumivu yake ni sawa na kumwibia moyo wake na kupotea nao. Hutobaki salama."
UvumilivuWakikuomba pesa ili wakupime upendo wako, na wewe wanyime ili uwapime uvumilivu wao."