Matatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “Hapana”.

Usiamshe matarajio kwa mtu usiyoweza kuyatimiza. Ni heri kutomtengeneza mtu matarajio ya ombi lake kisha umtimizie ombi hilo kuliko umtengenezee matarajio halafu usiyatimize. Matarajio yasiyotimizwa huzaa lawama isiyofutika.

Yoyote ajaye katika maisha yako ni mtu sahihi tu ikiwa una mtizamo sahihi. Kila binadamu hata yule mbaya kiasi gani anaweza kukufaa kwa kitu au jambo fulani

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.