Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Wale wanaomtaja Mungu kwa sababu yako wakimshukuru kwa kujibu maombi yao kupitia wewe ndio wanaopangua zile shari, nia ovu na hujuma za wale wasiokutakia mema zinazoelekezwa kwako.Huwezi kuwaepuka hawa wa pili.Wapo tu. Muhimu kila siku jitahidi ufanye usajili wa wale wa kwanza."
 
Tunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."
 
Back
Top Bottom