Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
"Usishughulishwe na neema, ukamsahau aliyekuneemesha
Aisee"Usishughulishwe na neema, ukamsahau aliyekuneemesha
SawaUsiamshe matarajio kwa mtu usiyoweza kuyatimiza. Ni heri kutomtengeneza mtu matarajio ya ombi lake kisha umtimizie ombi hilo kuliko umtengenezee matarajio halafu usiyatimize. Matarajio yasiyotimizwa huzaa lawama isiyofutika.
Sawa pia hiiPenye lawama, palitangulia matarajio."
📌Penye lawama, palitangulia matarajio."
📌📌Watu wenye kutoa sana misaada ni wale ambao walikuwa hawana kitu, Wanapenda sana kutoa kwa sababu wanayajua maumivu anayopitia yule aliyekosa kitu
SawaWatu wenye kutoa sana misaada ni wale ambao walikuwa hawana kitu, Wanapenda sana kutoa kwa sababu wanayajua maumivu anayopitia yule aliyekosa kitu
📌📌📌Kitu ambacho unakikataa leo, huenda kuna siku kwenye maisha utafikia hatua ya kukikubali na kikawa kwenye nafasi ya kukufaa maishani."
AiseeMatatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “Hapana”.
📌📌Matatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “Hapana”.
Hatariii sana
KweliUsiamshe matarajio kwa mtu usiyoweza kuyatimiza. Ni heri kutomtengeneza mtu matarajio ya ombi lake kisha umtimizie ombi hilo kuliko umtengenezee matarajio halafu usiyatimize. Matarajio yasiyotimizwa huzaa lawama isiyofutika.
Kweli piaUnapokuwa na matarajio makubwa kuliko hali halisi, ujue tu unajijengea mazingira ya mawazo yatakayokuumiza . Tarajia kidogo, na wakati mwingine wala usitarajie chochote".
✅️Unapokuwa na matarajio makubwa kuliko hali halisi, ujue tu unajijengea mazingira ya mawazo yatakayokuumiza . Tarajia kidogo, na wakati mwingine wala usitarajie chochote".