myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nakubali hiliWatoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila."
Nakubali hiliWatoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila."
Hili piaWatoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila."
✅️✅️Watoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila."
Ujumbe ✔️Binadamu mwenye husda haridhishwi na chochote isipokuwa kuondokewa na neema zako." ~Togolani Mavura.
Ujumbe muhimuYoyote ajaye katika maisha yako ni mtu sahihi tu ikiwa una mtizamo sahihi. Kila binadamu hata yule mbaya kiasi gani anaweza kukufaa kwa kitu au jambo fulani
AiseeBinadamu mwenye husda haridhishwi na chochote isipokuwa kuondokewa na neema zako." ~Togolani Mavura.
Ujumbe muhimu sana"Wale wanaomtaja Mungu kwa sababu yako wakimshukuru kwa kujibu maombi yao kupitia wewe ndio wanaopangua zile shari, nia ovu na hujuma za wale wasiokutakia mema zinazoelekezwa kwako.Huwezi kuwaepuka hawa wa pili.Wapo tu. Muhimu kila siku jitahidi ufanye usajili wa wale wa kwanza."
NakubaliKesho ni mlango wa matumaini
✅️✅️✅️Binadamu mwenye husda haridhishwi na chochote isipokuwa kuondokewa na neema zako." ~Togolani Mavura.
SawaTunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."
Sawa kabisaUnapokuwa na matarajio makubwa kuliko hali halisi, ujue tu unajijengea mazingira ya mawazo yatakayokuumiza . Tarajia kidogo, na wakati mwingine wala usitarajie chochote".
✅️✔️Kwenye maisha unapofurahia na kushangilia ushindi, usisahau kujipanga kwa changamoto inayofuata. Kila ushindi huvuta jaribu. Hakuna mteremko usiofuatiwa na kilima." ~
✅️✅️✅️Kwenye maisha unapofurahia na kushangilia ushindi, usisahau kujipanga kwa changamoto inayofuata. Kila ushindi huvuta jaribu. Hakuna mteremko usiofuatiwa na kilima." ~
✔️✔️Kwenye maisha unapofurahia na kushangilia ushindi, usisahau kujipanga kwa changamoto inayofuata. Kila ushindi huvuta jaribu. Hakuna mteremko usiofuatiwa na kilima." ~
✔️✔️✔️Pindi ukitenda wema ufiche, na pindi ukitendewa wema utangaze."
AiseeUsihuzunike pindi unapodhulumiwa, jitahidi sana uwe na uvumilivu, kwa sababu mapenzi ya Mungu yamekufanya uwe mwenye kudhulumiwa na sio mwenye kudhulumu."
SawasawaUsihuzunike pindi unapodhulumiwa, jitahidi sana uwe na uvumilivu, kwa sababu mapenzi ya Mungu yamekufanya uwe mwenye kudhulumiwa na sio mwenye kudhulumu."
✔️Mwenye kusambaza kheri yoyote, atapata malipo sawa na aliyeisema au kuiandika kheri hiyo."
✔️✔️✔️Mwenye kusambaza kheri yoyote, atapata malipo sawa na aliyeisema au kuiandika kheri hiyo."
📌Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."