myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."