Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilianza kujitambua nikiwa na umri wa miaka minne au mitano. Niligundua kuwa mikono yangu ni tofauti na ya watoto wengine na pia nilihisi sifanani na wengine," amezungumza na kipindi cha BBC cha Newsbeat.
 
Ni kama ngozi ya kifaru- ina mabaka na mipasuko, ni ngumu na isiovutia," Anna, 15, anasema.

Anna amerejea shule lakini kuna siku nyingi tu anazokumbuka ambazo huwa hataki kwenda shuleni.
 
Nyakati za asubuhi, ugonjwa wake wa kujibambua ngozi ungeenea hata kwenye uso na kumfanya kukosa kujiamini.

'Kuna siku ambazo ninachotaka wakati huo ni kuitoa kabisa ngozi yangu'

"Sikutaka watu wanione. Nilihisi aibu."
 
Back
Top Bottom