Wenye ugonjwa huu ni wachache duniani "kwasababu idadi yao haizidi watu milioni 1.2 kote duniani ," anasema dokta Salihu Kwaifa kutoka Nigeria.
Wenye aina hii ya kisukari huwa hawana sukari ya mwili (insulin) ya kutosha, na dalili zake zinatambuliwa haraka kama vile kupata haja ndogo mara kwa mara kiu na unywaji wa maji wa mara kwa mara kulingana na wataalamu.