myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeUchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti wa maradhi ya pumu -UK Asthma Research Center, ulibaini kuwa wagonjwa wa pumu wengi walikuwa hawajafundishwa jinsi ya kutumia kifaa cha kupumulia wanapokuwa katika hali ya dharura.
Kwa mujibu wa utafiti huo, wagonjwa walikuwa wanachanganyikiwa wanapoanza kukitumia.
SawaHali hii huathiri mfumo wa kupumua unaohusiana na mapafu na hii inaweza kusababisha mgongwa kuwa na hali mbali.
Utafiti wa hivi karibuni ulibaini kuwa wengi miongoni kwa wagonjwa wa pumu hawatumii kifaa cha kudhibiti ugonjwa huu kwa ufanisi wakati mgonjwa anapokuwa katika hali ya dharura.

SawaHali hii ina maana kwamba figo zitakuwa hazifanyi kazi ipasavyo.
UjumbePumu (Asthma)
Shirika la afya duniani linasema maradhi ya pumu huwaathiri watu wa kila rika
Ni ugonjwa unaomfanya mtu asipumue vyema.
Lakini maumivu anayoyapata mgonjwa huendelea na huja ghafla wakati mwingine hudumu kwa saa kadhaa na hata muda mrefu zaidi.
✅️✅️Pumu (Asthma)

Ujumbe muhimuUgonjwa wa figo
Figo zimeumbwa kuwa mbili. Kazi yake ni kuchuja maji machafu yanayotoka katika sehemu nyingine za mwili na kusafisha damu chafu na uchafu huo huenda moja kwa moja kupitia njia ya mkojo
SawasawaBaadhi ya mambo yanayoweza kusaidia kujiepusha na maradhi ya figo:
Punguza kiwango cha chumvi unayokula
Kula mboga za kijani kibichi
Fanya mazoezi ya mwili ya mara kwa mara
Acha unywaji wa pombe na kuvuta sigara
Sahihi kabisaBaadhi ya mambo yanayoweza kusaidia kujiepusha na maradhi ya figo:
- Punguza kiwango cha chumvi unayokula
- Kula mboga za kijani kibichi
- Fanya mazoezi ya mwili ya mara kwa mara
- Acha unywaji wa pombe na kuvuta sigara
SawasawaUgonjwa wa figo
Figo zimeumbwa kuwa mbili. Kazi yake ni kuchuja maji machafu yanayotoka katika sehemu nyingine za mwili na kusafisha damu chafu na uchafu huo huenda moja kwa moja kupitia njia ya mkojo
✔️Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu ndio magonjwa hatari zaidi.
Tatizo hili linaweza kutibiwa kwa njia ya upandikizaji wa figo au kwa kusafisha figo mara kwa mara.
SawaUnaweza kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa wa figo kama una magonjwa yafuatayo:
- Shinikizo la damu
- Kisukari
- Kiharusi
- Kama ulishawahi kupata maambukizi ya figo
SawaUnaweza kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa wa figo kama una magonjwa yafuatayo:
- Shinikizo la damu
- Kisukari
- Kiharusi
- Kama ulishawahi kupata maambukizi ya figo
AiseeMwaka 2015 utafiti wa WHO ulibaini kuwa mwanaume 1 kati ya wanaume 4 anaishi na ugonjwa huu, huku mwanamke 1 kati ya wanawake 5 akiwa na maradhi haya.
Shinikizo la damu ni ugonjwa mbaya ambao hauwezi kutibiwa unapogundulika kuwa nao.
DuhJinsia : Theruthi mbili ya maambukizi mapya ya ugonjwa huu huwapata wanawake, kwahiyo wana hatari zaidi ya kuupata kuliko wanaume.
AiseeJinsia : Theruthi mbili ya maambukizi mapya ya ugonjwa huu huwapata wanawake, kwahiyo wana hatari zaidi ya kuupata kuliko wanaume.
SawasawaMambo yanayochangia zaidi maumivu
Umri: Ugonjwa huu unaweza kumuathiri mtu yoyote lakini mara nyingi kuwapata watu wenye umri wa kuanzia miaka 60.
Ujumbe muhimuUgonjwa huu unajitokeza kwa aina nyingi kuna matibabu ya awali ambayo huitwa Acute Arthritis ambayo hudumu kwa miezi miwili na ni rahisi kupona.
Kwa arthritis ya kudumu, kwa kawaida matibabu huchukua miezi sita au zaidi zaidi kwa mtu kupata nafuu.
Hakuna dawa inayotolewa hospitalini inayoweza kutibu maradhi haya, japo athari zake zinaweza kutulizwa.
✔️✔️Ugonwa huu husababishwa na maambukizi yanayoshambulia supu ya mfupa na huwapata watu kwa njia mbali mbali.
Wakati mwingine maambukiz haya husababishwa na bakteria ambao hutengeneza kimiminika katika eneo lililoathiriwa na wakati mwingine hutokea mtu anapopata jeraha alipokuwa mtoto na jeraha hilo kuongezeka anapokuwa katika umri wa utu uzima na jeraha hilo kurejea tena.
✅️✅️✅️Ugonjwa huu unajitokeza kwa aina nyingi kuna matibabu ya awali ambayo huitwa Acute Arthritis ambayo hudumu kwa miezi miwili na ni rahisi kupona.