myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Apumzike kwa amani
Apumzike kwa amani
👍Endelea kupambana kumbuka wakati wako Utafika na wewe Mema yatakutembelea Endelea kusubiri Tambua kilicho Bora Huja kwa wakati sahihi kamwe Usikate Tamaa
HahahaUkiona Mpenzi wako Hakutafuti siku nzima Achana naye Tafuta Pesa
Mbona hii hatari.Usaliti vitani lazima utakugharimu.
Wasaliti ndiyo walioifikisha Congo hapo ilipo.
Ondoa wasaliti ili upate jeshi lenye nidhamu
View attachment 2980954
TrueTujitahidi sana kujitengenezea Thamani
Kwenye kila kitu
Ili mtu aheshimu wewe ni nani anatakiwa kujua kwamba wewe sio rahisi kupatikana ndani ya mwingine….
Value yourself and the things that you represent…..
Majukumu yanakuwa mengi sana
So do IMpka nashindwa kuingia kwenye uzi wetu pendwa
Hahaha