moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✔️Nitaongoza kwa kufuata mwongozo wa Katiba ya CCM
View attachment 3025147
Kumbukumbu muhimu
Inauwezekano mkubwa
🙏🙏Tumshukuru Allah kwa kutujaalia kuiona siku nyingine
🙏🤲Kuamka tu na afya njema tayari ni baraka. Kabla ya kuomba baraka nyingine zaidi, inatakiwa kwanza ushukuru kwa zawadi ya maisha.
🙏🤲Haijalishi mambo ni magumu kiasi gani upande wako. Siku zote tunza amani yako ya ndani. Hiyo ndio nguvu yako kubwa. Bila hiyo wewe si chochote wala lolote. Kumbuka, hakuna kinachodumu milele. Kila kitu kitapita katika maisha haya ya mpito. Amini. Tumaini. Usikate tamaa.
SawasawaWakati mwingine tunapitia njia tofauti ili kutimiza ndoto na malengo tuliyojiwekea katika maisha yetu ya kila siku. Sio mpaka wote tuonekane kwa pamoja. Tambua, njia yako sio njia ya mwenzio pia. Kila mtu atang'ara kwa wakati wake. Amini tu.