myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🤲Kukosa msaada. Kupoteza matumaini. Kukosa nguvu. Sote tunapitia hivyo. Lakini kukata tamaa sio nia yetu kuu. Matumaini ndio yanatuweka hai mpaka sasa. Haijalishi nini kinaendelea upande wako. Ila kuamini, kujua kwamba Mungu yupo nasi kila wakati ni faraja ya kuendeleza mapambano.
🙏🤲Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia siku nyingine