"Ukihifadhi sana nongwa ndani yako itakutafuna na kukukosesha furaha. Ukiitema nyingi kupita kiasi hata pale pasipohitajika, au kushinda kitendo ulichotendewa, itakujengea uadui na visasi vya kudumu. Nongwa nayo yafaa iwe kwa kiasi." ~Togolani Mavura.

Walio wepesi kugawana shida zao na watu, mara nyingi ndio walio wagumu kugawana neema zao na watu. Mkarimu wa shida zake huwa ni bahili wa neema zake, na bahili wa shida zake huwa ni tajiri wa neema zake." ~Togolani Mavura.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.