Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukichelewa, na ukawa katika harakati ya kuwahi ulipochelewa, ni rahisi sana kuwakwaza ama kukwazika na wengine walio ndani ya ratiba zao kwa kuhisi wanakuchelewesha. Kumbuka, watu hawana tatizo na wewe, bali wanawajibika kwa ratiba zao, si kwa ratiba yako iliyovurugika."