"Leo yako na unayoyapitia, yawe mazuri au mabaya, yaweza kuwa ndio jana ya wenzako au kesho ya wenzako. Usilazimishe leo yako iwe ndio leo ya kila mtu. Kila mtu na leo yake!"
Kusubiri ni jambo moja, kusubiria mahala sahihi ni jambo muhimu zaidi. Huwezi kusubiria meli kiwanja cha ndege. Kuwa na subra haina maana kusimama na kutosogea ulipo. Wakati unasubiri, tumia muda huo kukizengea na kukisogelea kile unachokisubiria. Kusubiri ni kutegesha!"

Ogopa zaidi mtu anayekukalia kimya ukimkasirisha. Ukimya wake si lazima iwe ni ishara ya kusalimu amri,bali waweza pia kuwa ni tahadhari na onyo kwako au aweza kuwa anakutafutia fursa na muda (timing) wa kukushushia hasira yake. Kuwa mwepesi wa kusoma ukimya wa uliyemkasirisha!"

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.