myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMaisha magumu zaidi ni yale ya kuishi kwa kumtegemea mtu ili mambo yako yaende
AiseeMaisha magumu zaidi ni yale ya kuishi kwa kumtegemea mtu ili mambo yako yaende
AiseeUkiwa JUU marafiki zako watakujua wewe ni nani, ukiwa CHINI utawajua nani ni rafiki zako. Tujuwe aina ya marafiki tulionao, wengine wapi kwetu kimaslahi tu tukiishiwa hao wanasepa.
📌📌Kuna aina mbili za maumivu, maumivu yanayokuumiza na maumivu yanayokufunza.
✔️👍Kuna Wakati Walipitia Magumu Sana Kwenye Maisha Yao Ya Utafutaji Lakini Hawakukata Tamaa Na Walionesha Tabasamu Kwako
Kwenye Harakati Zako Usiwasahau Wazazi Wako
✔️✔️👍👍Kuna Wakati Walipitia Magumu Sana Kwenye Maisha Yao Ya Utafutaji Lakini Hawakukata Tamaa Na Walionesha Tabasamu Kwako
Kwenye Harakati Zako Usiwasahau Wazazi Wako
🤣🤣Tulianza kufunzwa ugumu wa maisha na heshima ya mpambanaji pale Ambapo bakuli la baba lilikuwa likiwekewa mboga nyingi kuliko bakuri zote.
Kweli kabisaTulianza kufunzwa ugumu wa maisha na heshima ya mpambanaji pale Ambapo bakuli la baba lilikuwa likiwekewa mboga nyingi kuliko bakuri zote.
SahihiTulianza kufunzwa ugumu wa maisha na heshima ya mpambanaji pale Ambapo bakuli la baba lilikuwa likiwekewa mboga nyingi kuliko bakuri zote.
SawasawaUkiwa JUU marafiki zako watakujua wewe ni nani, ukiwa CHINI utawajua nani ni rafiki zako. Tujuwe aina ya marafiki tulionao, wengine wapi kwetu kimaslahi tu tukiishiwa hao wanasepa.
👍✔️👍Tulianza kufunzwa ugumu wa maisha na heshima ya mpambanaji pale Ambapo bakuli la baba lilikuwa likiwekewa mboga nyingi kuliko bakuri zote.
👍✔️👍👍Ukiwa JUU marafiki zako watakujua wewe ni nani, ukiwa CHINI utawajua nani ni rafiki zako. Tujuwe aina ya marafiki tulionao, wengine wapi kwetu kimaslahi tu tukiishiwa hao wanasepa.
SawaKuna aina mbili za maumivu, maumivu yanayokuumiza na maumivu yanayokufunza.
Amina🙏🤲Tunaishi kwa zamu wakati wengine leo wamezaliwa, wengine leo wamekufa
Mungu atujalie mwisho mwema nyakati
📌📌Tunaishi kwa zamu wakati wengine leo wamezaliwa, wengine leo wamekufa
Mungu atujalie mwisho mwema nyakati
📌📌Tumekutana na watu tofauti, wengine walitutoa machozi na wengine walitufuta machozi..