myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌👍Omba msamaha pale unapokosea, bado una umri mdogo sana kupoteza watu muhimu kwa sababu ya ufahali au kiburi. Ondoa fikra ya kwamba unaweza pata mbadala wa kila mtu.
📌👍Omba msamaha pale unapokosea, bado una umri mdogo sana kupoteza watu muhimu kwa sababu ya ufahali au kiburi. Ondoa fikra ya kwamba unaweza pata mbadala wa kila mtu.
SawaWakishindwa kukuangusha ulipopandishwa na mwenyezi Mungu watapambana kueneza maneno ya uongo ili mradi tu watu wakuchukie.
SawasawaWageni Wa Sikuhizi Hata Hawahitaji Kula, We Waandalie Tu Password Ya Wi-Fi na Chaja
✅️✅️Ingawa tunafeli kila siku lakini hatuachi kumshukuru Mungu tukiamini mafanikio yetu bado yanaishi
SawasawaTumia muda wako na watu wanaothamini uwepo wako.
Nakubaliana na hiliTumia muda wako na watu wanaothamini uwepo wako.
SawaWakishindwa kukuangusha ulipopandishwa na mwenyezi Mungu watapambana kueneza maneno ya uongo ili mradi tu watu wakuchukie.
Ni kweliSiku Zote Ukijifunza Kupuuza Baadhi ya Mambo Utakuwa Umeshinda Nusu Ya Matatizo ya Maisha
Ni kweliSiku Zote Ukijifunza Kupuuza Baadhi ya Mambo Utakuwa Umeshinda Nusu Ya Matatizo ya Maisha
Uko SawasawaSiku Zote Ukijifunza Kupuuza Baadhi ya Mambo Utakuwa Umeshinda Nusu Ya Matatizo ya Maisha
📌📌Siku Zote Ukijifunza Kupuuza Baadhi ya Mambo Utakuwa Umeshinda Nusu Ya Matatizo ya Maisha
Sahihi na hiliChuki huja kwa urahisi, lakini upendo ni changamoto. Matokeo chanya yanahitaji juhudi, wakati hasi huja bila juhudi.
Uko sahihiUsiogope kunuka JASHO unapotafuta hela ya PERFUME
✅️📌📌Kwa kawaida uwezo wetu wa kuwaambia watu ukweli huwa ni mkubwa sana kuliko wa sisi binafsi kujitamkia ukweli wa matendo, fikra na maamuzi yetu. Jitathmini wewe kama vile ungekuwa wewe ndo rafiki yako, ungesema nini kwako. Kuwa rafiki yako, I hope sijakuvuruga sana.
Ujumbe muhimuWenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
MuhimuWenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
✅️✅️Shida zikikufunza unyenyekevu hakikisha mafanikio yanakufunza kukumbuka fadhila
SawasawaKwa kawaida uwezo wetu wa kuwaambia watu ukweli huwa ni mkubwa sana kuliko wa sisi binafsi kujitamkia ukweli wa matendo, fikra na maamuzi yetu. Jitathmini wewe kama vile ungekuwa wewe ndo rafiki yako, ungesema nini kwako. Kuwa rafiki yako, I hope sijakuvuruga sana.