myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Kwa kawaida uwezo wetu wa kuwaambia watu ukweli huwa ni mkubwa sana kuliko wa sisi binafsi kujitamkia ukweli wa matendo, fikra na maamuzi yetu. Jitathmini wewe kama vile ungekuwa wewe ndo rafiki yako, ungesema nini kwako. Kuwa rafiki yako, I hope sijakuvuruga sana.