myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Kwa kawaida uwezo wetu wa kuwaambia watu ukweli huwa ni mkubwa sana kuliko wa sisi binafsi kujitamkia ukweli wa matendo, fikra na maamuzi yetu. Jitathmini wewe kama vile ungekuwa wewe ndo rafiki yako, ungesema nini kwako. Kuwa rafiki yako, I hope sijakuvuruga sana.
Mwalimu..✔️✔️Wenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
📌📌Kuna mambo yanakukuta mpaka unatamani umsimulie mtu ili angalau utue mzigo lakini unashindwa kwa kua ni mambo ya fedheha.
Jk..Wenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
👍👍👍Kuna mambo yanakukuta mpaka unatamani umsimulie mtu ili angalau utue mzigo lakini unashindwa kwa kua ni mambo ya fedheha.
Jk...Wenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
👍👍Siku Zote Tafuta Mtu ambaye Anajivunia Kuwa na Wew Anakujali, Anakudhamini anaeogopa Kukupoteza na Anaekupenda