myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍✅️Tulifunzwa kuwa umasikini ni mbaya pale Ambapo tulipogombana na watoto ambao kwao Kuna TV ilikuwa ndio mwisho wetu kwenda kuangalia TV kwao.
SawasawaUsiache Kumshukuru Mungu Kwa Matatizo Ambayo Unaishia Kuyaona Kwa Watu Wengine..
Apumzike kwa amani
✅️✅️Usiache Kumshukuru Mungu Kwa Matatizo Ambayo Unaishia Kuyaona Kwa Watu Wengine..
Inawezekana???
Sahihi kabisaHaijalishi unapitia changamoto kubwa kiasi gani usiache Kusali. Mungu ndio mfumbuzi wa Changamoto zetu.
👍👍👍Tulifunzwa kuwa umasikini ni mbaya pale Ambapo tulipogombana na watoto ambao kwao Kuna TV ilikuwa ndio mwisho wetu kwenda kuangalia TV kwao.
✅️✅️Mpaka utapoanza kujitegemea vinginevyo hauwezi kujua kama wazazi wako walikuwa ni mashujaa
✔️✔️✔️Mpaka utapoanza kujitegemea vinginevyo hauwezi kujua kama wazazi wako walikuwa ni mashujaa
SawaTulianza Kufundishwa kuwa Cha mtu chake na mwenyenacho hadharauliki hata siku Moja pale Ambapo mwenye mpira alikuwa akijitenga pembeni akisubilia mjichague Kisha yeye achague timu ipi akacheze Kwa kuwa mpira ni wake
SawaMaisha ya kufurahia maanguko ya wengine ni swala la kujitakia laana
📌Tulianza Kufundishwa kuwa Cha mtu chake na mwenyenacho hadharauliki hata siku Moja pale Ambapo mwenye mpira alikuwa akijitenga pembeni akisubilia mjichague Kisha yeye achague timu ipi akacheze Kwa kuwa mpira ni wake
📌📌Tulianza Kufundishwa kuwa Cha mtu chake na mwenyenacho hadharauliki hata siku Moja pale Ambapo mwenye mpira alikuwa akijitenga pembeni akisubilia mjichague Kisha yeye achague timu ipi akacheze Kwa kuwa mpira ni wake
Nakubaliana na hiliMuda wako unakikomo, kamwe usipotee kwa kujaribu kuishi maisha ya mtu mwingine
Nakubaliana na hili piaTulianza Kufundishwa kuwa Cha mtu chake na mwenyenacho hadharauliki hata siku Moja pale Ambapo mwenye mpira alikuwa akijitenga pembeni akisubilia mjichague Kisha yeye achague timu ipi akacheze Kwa kuwa mpira ni wake