myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Tulianza kufunzwa kulizika na tulivyonavyo pale Ambapo tulipokuwa tukila Kwa jirani ilikuwa ni kesi kubwa Sana.
📌📌📌Tulianza kufunzwa kulizika na tulivyonavyo pale Ambapo tulipokuwa tukila Kwa jirani ilikuwa ni kesi kubwa Sana.
Hili sahihi kabisaMuda wako unakikomo, kamwe usipotee kwa kujaribu kuishi maisha ya mtu mwingine
📌📌📌Kuwa mvumilivu ndugu kesho yako ni bora kuliko jana na leo yako.
🙏🙏Haijalishi unapitia changamoto kubwa kiasi gani usiache Kusali. Mungu ndio mfumbuzi wa Changamoto zetu.
📌📌Kuna uvumilivu halafu kuna kushindwa kuchukua maamuzi sahihi…
Muhimu sanaKwenye maisha kila hatua unayopiga ni muhimu. Fanya maamuzi yenye tija isiyopoteza muda wako na watu wanaokuzunguka.
📌📌📌Siku zote mtu mwenye kujitambua ni mtu wa kujiamini na kujithamini bila kujifanya yeye bora kuliko wengine.
SawaKwenye maisha kila hatua unayopiga ni muhimu. Fanya maamuzi yenye tija isiyopoteza muda wako na watu wanaokuzunguka.
📌📌Siku zote mtu mwenye kujitambua ni mtu wa kujiamini na kujithamini bila kujifanya yeye bora kuliko wengine.
Ujumbe muhimuKuna wengine wanavua nguo chafu ili wavae safi ili waende kazini. Na mda huo huo kuna wengine wanavua nguo safi ili wavae chafu waingie kazini
📌📌Kuna wengine wanavua nguo chafu ili wavae safi ili waende kazini. Na mda huo huo kuna wengine wanavua nguo safi ili wavae chafu waingie kazini
🤲🤲🙏🙏Asante Mungu kwa Kutupa Baraka za Kuiona Siku ya Leo, tunaomba Baraka zako zikafungue njia za mafanikio yetu katika siku ya leo.
📌📌Accept the reality that life will not be easy,You have to be strong
🤲🙏Nakukumbusha tu;Ukiamka Mshukuru Mungu Kisha Endelea na Ratiba Yako.Mwamini Mungu kwamba atakusimamia katika siku yako ya leo na mambo yako yatafanikiwa
✔️✔️✔️Kuwa makini na mtu unayemkimbilia unapokuwa na changamoto
Sawasawa kabisaKuwa makini na mtu unayemkimbilia unapokuwa na changamoto
✅️✅️Nakukumbusha tu;Ukiamka Mshukuru Mungu Kisha Endelea na Ratiba Yako.Mwamini Mungu kwamba atakusimamia katika siku yako ya leo na mambo yako yatafanikiwa
InawezekanaKuna umri Fulani ukifika hisia za maendeleo na mafanikio zinautawala sana moyo wako kuliko hisia za aina yeyote ile, ukifikia hapo baaaasi tambua hakuna kihashiria kingine Cha kukutaarifu kwamba umekuwa.