myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kumbukumbu muhimu
InawezekanaUsiumie pale mtu anaposhindwa kukusaidia. Inawezekana anapitia changamoto zaidi ya kwako
KweliUsiumie pale mtu anaposhindwa kukusaidia. Inawezekana anapitia changamoto zaidi ya kwako
NakubalianaUnachokipenda kibadili kiwe fursa kikuingizie pesa
SawasawaKula yai moja leo. Kwa ubongo wako na mishipa.
Sahihi kabisaUnachokipenda kibadili kiwe fursa kikuingizie pesa
SawasawaWeka maji kwa siku nzima. kuwa na chupa ya maji kando yako. kazi za mwili wako.
Ni kweliTembea. Tumia miguu yako. Chukua ngazi. Zoezi. Kwa moyo wako na mishipa ya damu
✔️Usichukulie mambo kibinafsi. Kwa afya yako ya akili.
AiseeTembea. Tumia miguu yako. Chukua ngazi. Zoezi. Kwa moyo wako na mishipa ya damu
Kila unapoamka usiache kumuomba Mungu akuepushe na changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua
SawaUsiwe mtu mwema kupitia kiasi kama mshumaa yaani unaungua wenyewe ili wengine waangaziwe. Acha huo ujinga mara moja.
Aache kabisaUsiwe mtu mwema kupitia kiasi kama mshumaa yaani unaungua wenyewe ili wengine waangaziwe. Acha huo ujinga mara moja.
✔️✔️✔️Damu ni nzito kuliko Maji lakini Akili yako na Afya yako ni muhimu zaidi kuliko hio damu na Maanisha Mungu akiamua kukuletea Mtu wa kukupenda kukusikiliza na kukuthamini sio lazima awe damu yako
“Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart