myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku umeingia kwetu
DuhHii Siyo za kweli, ila kuna taarifa kuwa NASA wana mpango wa kwenda kupanda miti mwezini
Sawa
📌📌Kila unapoamka usiache kumuomba Mungu akuepushe na changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua
Usiwe mtu mwema kupitia kiasi kama mshumaa yaani unaungua wenyewe ili wengine waangaziwe. Acha huo ujinga mara moja.
SawasawaDamu ni nzito kuliko Maji lakini Akili yako na Afya yako ni muhimu zaidi kuliko hio damu na Maanisha Mungu akiamua kukuletea Mtu wa kukupenda kukusikiliza na kukuthamini sio lazima awe damu yako
📌📌📌Utajiri una siri nzito sana, Hakuna mtu atakupatia mfumo wa kipato chake kirahisi rahisi tu, Endelea kumuomba Mungu na Upunguze tamaa ya kutamani vya watu
👍👍👍Usisahau kunukia, tabasamu lako na kujiamini.
📌📌Usisahau kunukia, tabasamu lako na kujiamini.