myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliUtajiri una siri nzito sana, Hakuna mtu atakupatia mfumo wa kipato chake kirahisi rahisi tu, Endelea kumuomba Mungu na Upunguze tamaa ya kutamani vya watu
KweliUtajiri una siri nzito sana, Hakuna mtu atakupatia mfumo wa kipato chake kirahisi rahisi tu, Endelea kumuomba Mungu na Upunguze tamaa ya kutamani vya watu
Ni sahihiIshi kwenye ndoto zako hata kama ni ndogo, zitakua na utafika unapotaka kuwa
NakubalianaJifunze kufanya kazi kwa nguvu zako ili upate unachokitaka
👍👍👍Jifunze kufanya kazi kwa nguvu zako ili upate unachokitaka