myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
DuhHii Siyo za kweli, ila kuna taarifa kuwa NASA wana mpango wa kwenda kupanda miti mwezini
β οΈβ οΈβ οΈ
Sawa
πβοΈπ
βοΈβοΈπ
ππβοΈ
ππKila unapoamka usiache kumuomba Mungu akuepushe na changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua
Usiwe mtu mwema kupitia kiasi kama mshumaa yaani unaungua wenyewe ili wengine waangaziwe. Acha huo ujinga mara moja.
SawasawaDamu ni nzito kuliko Maji lakini Akili yako na Afya yako ni muhimu zaidi kuliko hio damu na Maanisha Mungu akiamua kukuletea Mtu wa kukupenda kukusikiliza na kukuthamini sio lazima awe damu yako
πππUtajiri una siri nzito sana, Hakuna mtu atakupatia mfumo wa kipato chake kirahisi rahisi tu, Endelea kumuomba Mungu na Upunguze tamaa ya kutamani vya watu
πππUsisahau kunukia, tabasamu lako na kujiamini.
ππUsisahau kunukia, tabasamu lako na kujiamini.