moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✅️Siku ukiweza kumsifia mtu bila kumlinganisha au kumshusha mwingine utakua umevuka hatua flani ya wivu. Tunaweza kujenga vingi vizuri bila kushusha vizuri vilivyo tangulia.
SawaKuna wakati inabidi kutunza Habari njema katika Moyo wako, Sababu Majigambo yata kusogezea Maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha
SawaKuna wakati inabidi kutunza Habari njema katika Moyo wako, Sababu Majigambo yata kusogezea Maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha
KweliKuna wakati inabidi kutunza Habari njema katika Moyo wako, Sababu Majigambo yata kusogezea Maadui watakao fanya juhudi za kukuangusha
✔️✔️Heshima na nidhamu vinaweza kukufikisha mahali ambapo juhudi na mapambano haviwezi kukufikisha, heshimu watu ili ujionee fakhari ya kuishi na watu
✅️✅️✅️Heshima na nidhamu vinaweza kukufikisha mahali ambapo juhudi na mapambano haviwezi kukufikisha, heshimu watu ili ujionee fakhari ya kuishi na watu