myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeSiku ukiweza kumsifia mtu bila kumlinganisha au kumshusha mwingine utakua umevuka hatua flani ya wivu. Tunaweza kujenga vingi vizuri bila kushusha vizuri vilivyo tangulia.
AiseeSiku ukiweza kumsifia mtu bila kumlinganisha au kumshusha mwingine utakua umevuka hatua flani ya wivu. Tunaweza kujenga vingi vizuri bila kushusha vizuri vilivyo tangulia.
✅️✅️Siku ukiweza kumsifia mtu bila kumlinganisha au kumshusha mwingine utakua umevuka hatua flani ya wivu. Tunaweza kujenga vingi vizuri bila kushusha vizuri vilivyo tangulia.
AiseeHeshima na nidhamu vinaweza kukufikisha mahali ambapo juhudi na mapambano haviwezi kukufikisha, heshimu watu ili ujionee fakhari ya kuishi na watu
KweliUkitaka kutambua thamani ya ulicho nacho angalia idadi ya wanao kitafuta.
SawasawaMaumivu hayabadirishi chochote kwa vitu vilivyo pita
SahihiMaumivu hayabadirishi chochote kwa vitu vilivyo pita
SawaFuraha inaanzia pale kwenye kufurahia vile ulivyonavyo na kuacha kuumizwa na vile ambavyo huna. Maisha yana shida nyingi sana lakini thamini zaidi shida zile ambazo huna pia.
KweliUkitaka kutambua thamani ya ulicho nacho angalia idadi ya wanao kitafuta.
Ujumbe muhimuFuraha inaanzia pale kwenye kufurahia vile ulivyonavyo na kuacha kuumizwa na vile ambavyo huna. Maisha yana shida nyingi sana lakini thamini zaidi shida zile ambazo huna pia.
Ishi....muhimuKuwa na fikra chanya. Kaa kwenye njia yako. Imarisha imani yako. Weka mipaka yako. Usiogope changamoto. Simamia unachokiamini. Heshimu kila mtu. Kula vizuri. Vaa na pendeza. Sali na fanya kazi kwa bidii. Kuwa muaminifu. Halafu Ishi.
Sahihi kabisaFuraha inaanzia pale kwenye kufurahia vile ulivyonavyo na kuacha kuumizwa na vile ambavyo huna. Maisha yana shida nyingi sana lakini thamini zaidi shida zile ambazo huna pia.
📌📌Furaha inaanzia pale kwenye kufurahia vile ulivyonavyo na kuacha kuumizwa na vile ambavyo huna. Maisha yana shida nyingi sana lakini thamini zaidi shida zile ambazo huna pia.
✔️✔️✔️Furaha inaanzia pale kwenye kufurahia vile ulivyonavyo na kuacha kuumizwa na vile ambavyo huna. Maisha yana shida nyingi sana lakini thamini zaidi shida zile ambazo huna pia.
👍👍Kuwa na fikra chanya. Kaa kwenye njia yako. Imarisha imani yako. Weka mipaka yako. Usiogope changamoto. Simamia unachokiamini. Heshimu kila mtu. Kula vizuri. Vaa na pendeza. Sali na fanya kazi kwa bidii. Kuwa muaminifu. Halafu Ishi.
Ishi maisha yakoKuwa na fikra chanya. Kaa kwenye njia yako. Imarisha imani yako. Weka mipaka yako. Usiogope changamoto. Simamia unachokiamini. Heshimu kila mtu. Kula vizuri. Vaa na pendeza. Sali na fanya kazi kwa bidii. Kuwa muaminifu. Halafu Ishi.
Ni kweli ✔️Maumivu hayabadirishi chochote kwa vitu vilivyo pita
👍✔️Siku moja utalia machozi ya furaha, machozi ya majibu ya maombi yako. Machozi ya kutimiza ndoto zako. Endelea kuwa na subira, endelea kumuamini Mungu
🙏🙏Siku moja utalia machozi ya furaha, machozi ya majibu ya maombi yako. Machozi ya kutimiza ndoto zako. Endelea kuwa na subira, endelea kumuamini Mungu
🤲🤲Siku moja utalia machozi ya furaha, machozi ya majibu ya maombi yako. Machozi ya kutimiza ndoto zako. Endelea kuwa na subira, endelea kumuamini Mungu
✔️✔️✔️Mungu hafanyi kwa sababu unatia huruma, ana fanya kwa sababu una imani.